Idara ya Uvuvi imeandaa kikao cha wadau wa sekta ya Uvuvi tarehe 28-29 Juni 2017 katika Ukumbi wa Maabara ya Uvuvi (NFQCLAB)-Nyegezi kuhitimisha kazi ya Upembuzi yakinifu unaolenga kuboresha andiko la Mradi ujulikanao kama ‘’Sustainable Supply Chain Solutions Powered by Renewable Energy in remote Fishing Villages/Landing Sites’’.
Mradi huu unalenga kuzuia upotevu wa mazao ya uvuvi kabla kufika kwa mlaji kwa kuweka miundombinu ya mitambo ya kuzalisha barafu, kukausha samaki na kujenga maghala ya kugandishia na kuhifadhi samaki ikiwa vyote vinatumia nishati ya jua.
Ministry of Livestock and Fisheries, Director of Fisheries Development Division, P.O. Box 2847
40487 DODOMA-TANZANIA
National Fish Quality Control Laboratory (NFQCLAB), Principal Laboratory Officer, Fisheries Area Nyegezi, P.O. Box 1392, MWANZA-TANZANIA
Website: www.nfqclab.go.tz
Simu: +255 717 041 676
Nukushi: -
Barua pepe: Info@nfqclab.go.tz
© 2025 MAABARA YA TAIFA YA UVUVI(NFQCLAB) . Haki zote zimehifadhiwa..